Tuesday, April 12, 2011

THE ONLY WAY! ( Njia Pekee )


KWA MAANA JINSI HII MUNGU

ALIUPENDA ULIMWENGU
HATA AKAMTOA MWANAE PEKEE 

ILI KILA MTU AMWAMINIE ASIPOTEE BALI AWE NA UZIMA WA MILELE!



ASIYE MWAMINI AMEKWISHA KUHUKUMIWA...



 
BWANA WA MABWANA!

HAKUNA ONDOLEO LA 
DHAMBI
NJE YA DAMU YA YESU




MAANA NI KWA YEYE PEKEE TUNA ENDA MBINGUNI!
MWANAKONDOO WA MUNGU 
ALIEITWAA DHAMBI YA ULIMWENGU
KUTUWEKA WANADAMU WOTE HURU!
MAANA KWA KOSA LA ADAMU SOTE TULIHESABIWA HATIA NA LAANA, VILEVILE KWA DAMU YA YESU PALE MSALABANI SOTE TUMEKOMBOLEWA! 
ALI ACHA UTUKUFU NA ENZI JUU MBINGUNI AKASHUKA CHINI DUNIANI, AKAISHI KAMA MWANADAMU, AKASHINDA DHAMBI NA MAJARIBU YA SHETANI,
  NA PIA AKAKUBALI DHIHAKA, AIBU ,MIJEREDI NA MATESO MAKALI PALE MSALABANI
ILI MIMI NA WEWE TUOKOLEWE!
ALILIPA DENI LA DHAMBI LILILO TUKABILI NA SASA TUKO HURU MBALI NA DHAMBI NA MASHAMBULIZI YOTE YA SHETANI.
SHARTI NI KUMWAMINI NA KUMPOKEA TU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO! 
                         YAANI        KUOKOKA!

No comments:

Post a Comment